Monday, February 15, 2010

MLAB Video

Thot you never see it comin! Its increadible baby! Yap....... Yule mkali  aka Mr. Increadible aka One aka Style&content  hivi karibuni anataraji kufanya video ya mwimbo wake ambao  upo juu sana kwa sasa katika medani ya hiphop. wadau kaeni mkao wa kula maana mambo yanaweza kukamilika soon plus video za wasanii wengine katika label.

1 comment:

felix said...

ALL THE BEST SON,KEEP IT UP N I HOPE I'LL BE ON THAT VIDEO